Thursday 3 January 2013

MKESHA WA MWAKA MPYA



Mambo yalinoga mpaka saa kumi na nusu alfajiri, ilikuwa raha tele ya mduara na nyimbo nyingine. Baada ya sita usiku  jukwaa lilivamiwa na wapenzi waliochukua nafasi kukumbatiana na wanamuziki katika kutakiana heri kwa mwaka mpya. NJENJE inawatakiwa wapenzi wote heri na fanaka katika mwaka huu wa 2013

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA