Kama kawaida ya mtu mwenye busara umri ukiwa mkubwa unaanza kurithisha kipaji kwa vijana na ndivyo ilivyo kwa Njenje, angalia baadhi ya wanamuziki hawa wakiwa jukwaani
Monday 17 June 2013
WASANII WA FILAMU WASHEREHEKEA TUZO ZAO KWA MDUARA
HAPPY BIRTHDAY BABU NJENJE
Jumamosi hii Babu NJENJE alisherehekea birthday yake pale Salender Bridge Club, tena safari hii binti yake anaeishi Uingereza alikuweko na kumpatia keki nzuri sana baba yake. Babu Njenje anetimiza miaka 67 pia anatimiza miaka 66. Pamoja na Babu Njenje, Lady JD Na Bi Shakila wote wamezaliwa siku hii. Tunawapa wote Happy Birthday na kuwatakia maisha marefu na mema.
Subscribe to:
Posts (Atom)