Monday 28 July 2014

Thursday 24 July 2014

KILIMANJARO BAND IPO KATIKA LIKIZO YA MWAKA

KAMA ilivyo kawaida yake katika mwezi huu wa Ramadhan Kilimanjaro Band huchukua likizo yake ya mwaka. Katika kipindi hiki, Waziri Ally alienda Tanga kumtembelea Babu Njenje ambaye alipata stroke 9 December 2013. Babu Njenje amekuwa huko kupumzika na kupata matibabu ambayo kwa uwezo wa Mungu yanaendelea vizuri. Tunawaomba wapenzi wote wa Njenje waendelee kumuombea Babu Njenje ili aweze kurudi tena jukwaani mapema...picha za Babu Njenje karibuni akiwa Tanga.


ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA