Monday 9 February 2015

NJENJE KULA VALENTINE SALENDER BRIDGE CLUB

WAPENZI  wa Njenje watakusanyika Slander bridge Club kama kawaida kufurahia siku ya Wapendanao-Valentine Day. Kama ilivyo kawaida onyesho la bendi litaanza saa 4 usiku na kuendelea hadi alfajiri. Wakati huohuo afya ya Babu Njenje inaendelea kuimarika baada ya kupata stroke tarehe 9 Desemba 2013 wakati akijitayarisha kuelekea kweny onyesho la bendi lililokuwa lifanyika ESCAPE ONE . Toka wakati huo amekuwa katika matibabu na mapumziko. Hivi karibuni bendi nzima ya Kilimanjaro ilimtembelea mwenzao huyu ambae kwa sasa yuko Tanga kwa mapumziko na matibabu

No comments:

Post a Comment

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA