Monday 28 September 2015

NJENJE ILIVYOKUWA WIKIENDI HII PICHA KIBAOO

KILA JUMAMOSI KILIMANJARO BAND WANAKUWA JUKWAANI PALE SALENDER BRIDGE CLUB, NI RAHA TU WATU WA AINA MBALIMBALI WA RIKA MBALIMBALI HUKUTANA NA KUFURAHI KWA MUZIKI WA KILIMANJARO BAND.... HEBU ANGALIA KILICHOJIRI WIKI ENDI HII






















Saturday 26 September 2015

NJENJE SERENA HOTEL WAKICHANGAMSHA WAJUMBE WA MKUTANO WA 18 WA TASNIA YA BIMA

NYOTA WAZIRI akiwa kwenye onyesho la mkutano wa 18 wa makampuni ya BIMA, hotela SERENA jana 25/9/2015

NJENJE WAFANYA ONYESHO TANGA HOTEL SIKU YA IDD

BENDI  kongwe ya Kilimanjaro band ambayo ilianzia jijini Tanga miaka zaidi ya 40 iliyopita, ilifanya onyesho lake katika mji huo siku ya Idd, pembeni mwa bwawa la kuogolea la hoteli maarufu ya Tanga Beach Resort. Onyesho hilo lililokuwa na matayarisho mbalimbali ikiwemo wanamuziki wa Kilimanjaro Band kuhojiwa ma radio ya TK FM lilifana na kuisha saa tisa ya usiku siku hiyo 
TK FM Tanga

Abou Mwinchumu na Nyota Abdallah ndani ta TK FM

Waziri Ally ndani ya TK FM


Matayarisho ya onyesho










Show ilianza polepole







Keppy Kiombile na Babu Njenje ambaye alikuja kwenye show hii na kuimba nyimbo zake kadhaa. Babu Njenje alipata stroke miaka miwili iliyopita na amekuwa Tanga muda wote

Abou Mwinchum

Juma Omary






Thursday 24 September 2015

NJENJE KUSHEREHEKEA IDD TANGA BEACH RESORT

THE KILIMANJARO BAND leo watakuwa Tanga Resort katika kusherehekea Idd Al Hajj.
Matayarisho in full swing wanamuziki wote wako hapa hotelin wakifanya sound check






ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA