ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Jumamosi, 26 Septemba 2015

NJENJE WAFANYA ONYESHO TANGA HOTEL SIKU YA IDD

BENDI  kongwe ya Kilimanjaro band ambayo ilianzia jijini Tanga miaka zaidi ya 40 iliyopita, ilifanya onyesho lake katika mji huo siku ya Idd, pembeni mwa bwawa la kuogolea la hoteli maarufu ya Tanga Beach Resort. Onyesho hilo lililokuwa na matayarisho mbalimbali ikiwemo wanamuziki wa Kilimanjaro Band kuhojiwa ma radio ya TK FM lilifana na kuisha saa tisa ya usiku siku hiyo 
TK FM Tanga

Abou Mwinchumu na Nyota Abdallah ndani ta TK FM

Waziri Ally ndani ya TK FM


Matayarisho ya onyesho


Show ilianza polepoleKeppy Kiombile na Babu Njenje ambaye alikuja kwenye show hii na kuimba nyimbo zake kadhaa. Babu Njenje alipata stroke miaka miwili iliyopita na amekuwa Tanga muda wote

Abou Mwinchum

Juma Omary


Hakuna maoni:

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...