ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Ijumaa, 16 Oktoba 2015

KILIMANJARO BAND YAMLILIA DEO FILIKUNJOMBE


Deo-Filikunjombe Wanajenje tunasema hakika hakuna anayeweza kujitayarisha kwa kuondokewa kwa rafiki kama Deo, upweke na uchungu umekuja ghafla kama upepo, ila tunajiridhisha nafsi kuwa sasa umepumzika mikononi mwa Muumba wako. Tuchukue nafasi hii kutuma salamu za rambi rambi kwa familia za wote waliopoteza maisha katika na ajali wakiwa na rafiki yetu mpendwa Deo Filikunjombe. Hakika binadamu tunapanga kumbe Mungu ana mipango yake. Kifo ni somo jingine kwetu kuwa tuwe tayari kiroho kwani hatujui siku wala saa yetu. Mumemtutangulia nasi twaja Mungu awalaze pema peponi

Hakuna maoni:

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...