The kilimanjaro Band of Tanzania
Kurasa
Nyumbani
BOOKINGS/RATIBA ZA MAONYESHO
Thursday 9 June 2016
NJENJE KUTOKUPIGA MUZIKI MWEZI WA RAMADHAN
KAMA kawaida bendi ya Kilimanjaro huchukua likizo yake ya kila mwaka katika mwezi huu wa Ramadhan, na mwaka huu utaratibu ni huohuo, bendi haitakuwa jukwaani mpaka siku ya Idd. Tunawatakia wapenzi wetu wanaofunga mfungo mwema
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)
ON STAGE
ON STAGE
TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA