Thursday 9 June 2016

NJENJE KUTOKUPIGA MUZIKI MWEZI WA RAMADHAN

KAMA  kawaida bendi ya Kilimanjaro huchukua likizo yake ya kila mwaka katika mwezi huu wa Ramadhan, na mwaka huu utaratibu ni huohuo, bendi haitakuwa jukwaani mpaka siku ya Idd. Tunawatakia wapenzi wetu wanaofunga mfungo mwema

No comments:

Post a Comment

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA