Friday 19 August 2016

BURIANI BI SHAKILA SAUTI YAKO UCHESHI WAKO TUTAUKUMBUKA DAIMA

BI SHAKILA AMETUTOKA GHAFLA BAADA YA KUANGUKA NA ALIPOPELEKWA HOSPITALI AKAKATA ROHO
MUNGU AMLAZE PEMA MAMA YETU, HAPA AKIWA NA BABU NJENJE AMBAYE WALIZALIWA SIKU MOJA KATIKA MJI WA PANGANI

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA