Monday 12 September 2016

KILIMANJARO BAND YAENDA PUMZIKA TANGA IDD

WANAMUZIKI WA bendi ya Kilimanjaro waliamua kwenda kupumzika katika jiji la Tanga, katika kujipa raha siku ya Idd wanamuziki hawa walifikia Tanga Resort na kutumia muda wa jioni kushirikiana na bendi inayopiga hapo hotelini














ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA