ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Jumatatu, 10 Oktoba 2016

JAMAA ALIENDA KWA SONARA

Jamaa kaenda kwa sonara kununua  pete ya uchumba. Alipokuwa kiangalia ikabidi ainame aangalie pete moja iliyokuwa katika sanduku la maonesho bahati mbaya ushuzi ukamtoka. Akadhani sonara hajastukia. Hivyo akauliza, 'Hivi ile pete pale chini shilingi ngapi?
Sonara akamjibu, kuiangalia tu umetoa ushuzi nikikutajia bei si ndio utaharisha kabisa?

Hakuna maoni:

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...