FRANCIS MNGUTO

FRANCIS MNGUTO
BABU FRANCIS

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Jumatano, 28 Desemba 2016

YOU JUST CAN'T MISS THIS SHOW TODAY 29TH DECEMBER AT KING SOLOMON'S HALL NAMANGA

Utakosaje?Tiketi zinapatikana sasa EATERS POINT Namanga na Masaki. Tiketi za VIP Zimebaki chache. Pia tiketi zitauzwa mlangoni kuanzia saa mbili usiku. Njoo usikilize muziki tofauti na kucheza mpaka usiku mkali
You can't miss this.Tickets are available at EATERS POINT Namanga and Masaki. Limited VIP Tickets. Tickets will also be sold at the door from 8pm. Come and enjoy different varieties of music and dance tour heart out
JOHN KITIME &WAHENGA BAND

JOHN MHINA & THE TANZANITES

TAJ MBARAKA MWINSHEHE


MUSIC MAYDAY ARTISTS

Hakuna maoni:

ILIKOTOKEA KILIMANJARO BAND

Santuri ya kwanza ya Kilimanjaro Band Kwenye miaka ya sabini kundi la vijana mjini Tanga walianzisha bendi wakajiita The Love Bu...