ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Jumatano, 16 Mei 2018

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya kwanza kwa bendi hiyo kurekodi baada ya muda mrefu sana. Kama kawaida nyimbo hizo ziko katika mahadhi ya mduara, wapenzi na mashabiki wa Kilimanjaro Band kuweni tayari, wale ambao hawaifahamu bendi hii ambayo ina umri wa miaka 44, nanyi kaeni tayari kuzipokea nyimbo hizo.

Hakuna maoni:

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...