tag:blogger.com,1999:blog-6946572442305262425.post4502960089260572274..comments2022-09-26T12:21:55.335-07:00Comments on The kilimanjaro Band of Tanzania: Arusha to Dar es Salaam kupitia Kipingu MgahawaUnknownnoreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-6946572442305262425.post-18399710369242507212011-05-24T10:20:57.403-07:002011-05-24T10:20:57.403-07:00Naona mkuu Kitime ameshikilia "kikombe"n...Naona mkuu Kitime ameshikilia "kikombe"nina uhakika kuwa hiki siyo kikombe cha babu,hapa ni mgahawa wa Kipingu,Watu wanaweza kushangaa maana enzi hii ni enzi ya vikombe na inafaa kuwaelewesha wapenzi wa Njenje kuwa kikombe hiki siyo cha babu wa Loliondo.Kila la kheri wana Njenje.<br />Abbu Omar,Prof.Jnr(Mwanamuziki)Tokyo,Japan.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6946572442305262425.post-22015399401779404822011-05-24T10:13:47.547-07:002011-05-24T10:13:47.547-07:00Dada Nyota na bw.Keppy,hiyo chai chapati katika Ki...Dada Nyota na bw.Keppy,hiyo chai chapati katika Kipingu mgahawa inatutamanisha huku tuliko,nadhani ingekuwa vizuri kama mngetutumia hata kwa DHL ili nasi tupate uhondo huo,tunakosa mengi mazuri ya huko nyumbani hasa vyakula vyetu vya asili ya ki afrika,hongera kwa juhudi zenu na tupo karibu nanyi pia tunafuatilia kila hatua ya maendeleo mnayoipiga,pia nyonga za hali ya juu tunaziona zinavyoendelea huko "Mjini"Salaam kwa wana Njenje wote.We wish you all the best,<br />Abbu Omar,Prof.Jnr(Mwanamuziki)Tokyo,Japan.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6946572442305262425.post-38364471011180073392011-05-24T08:19:10.470-07:002011-05-24T08:19:10.470-07:00Bima ya vyombo vyenu vya muziki na nyie wenyewe ms...Bima ya vyombo vyenu vya muziki na nyie wenyewe mshakata? Maana sije ikawa kama mambo ya Afrosa vyombo vyao kuharibika ktk ajali ya gari na kuwa mwisho wa Bendi ya Afro 70.<br /><br />Mpenzi wa Njeje.Anonymousnoreply@blogger.com