ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Jumapili, 17 Aprili 2011

Jenerali Ulimwengu stejini sambamba na Njenje

Jenerali akiimba wimbowa taratibu, Mama yake na Sophia

Akituzwa

Rafiki yetu mpenzi Khalid Musa kutoka Mwanza
Njenje Jumamosi hii ilipata wageni wengi akiwemo Jenerali Ulimwengu ambae pia alipanda jukwaani kusukuma gurudumu la raha za Jumamosi
Dr Bushiri(Dr Bush), na mkewe.

Mohamed Mrisho

Hakuna maoni:

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...