Kama ambavyo imekuwa ikitokea kwa miaka kadhaa mfululizo Kilimanjaro Band tena ilipewa heshima ya kutumbuiza katika sherehe ya wanachama wa Tanzania Law Society. Safari hii mkutano ulikuwa Arusha, na jioni tulivu iliyokuwa na 'dinner' na Dance ilikuwa katika viwanja vya Mount Meru Hotel Picha za matukio hizo hapo.
Weilcome back wananjenje tuliwakosa sana hapa jamvini. Na bila ya shaka arusha people wameburudika na leo jms wataduarika arusha kwa mara ya kwanza.
ReplyDelete