Monday 17 June 2013

HAPPY BIRTHDAY BABU NJENJE

Jumamosi hii Babu NJENJE alisherehekea birthday yake pale Salender Bridge Club, tena safari hii binti yake anaeishi Uingereza alikuweko na kumpatia keki nzuri sana baba yake. Babu Njenje anetimiza miaka 67 pia anatimiza miaka 66. Pamoja na Babu Njenje, Lady JD Na Bi Shakila wote wamezaliwa siku hii. Tunawapa wote Happy Birthday na kuwatakia maisha marefu na mema.




No comments:

Post a Comment

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA