ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Jumapili, 10 Oktoba 2010

Njenje Salender Bridge jana 09.10.2010


 Kama kawaida jana ilikuwa raha tupu, birthdays nyingi, mpenzi mmoja wa Njenje alikuwa anatimiza miaka 60. Beya Mguto alikuwa ana sherehekea na mchumba wake Bi Rehema kuvishana pete ya uchumba na Njenje walikuwa wanasherehekea Jumamosi nyingine katika miaka 37 ya uhai wa  bendi.Maoni 1 :

irene sanga alisema ...

kusema ule ukweli nawamiss sana wananjenje ,hasa huyo babu njenje mwenyewe walahi nimemmiss saaaaaanaaaaaaa,kitime p,se mpe salamu zangu

nyie njenje mtasherehekea hata miaka mia ya band yenu na mungu awape uhai na nguvu

irene sangaaaaaa

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...