Kama kawaida jana ilikuwa raha tupu, birthdays nyingi, mpenzi mmoja wa Njenje alikuwa anatimiza miaka 60. Beya Mguto alikuwa ana sherehekea na mchumba wake Bi Rehema kuvishana pete ya uchumba na Njenje walikuwa wanasherehekea Jumamosi nyingine katika miaka 37 ya uhai wa bendi.
kusema ule ukweli nawamiss sana wananjenje ,hasa huyo babu njenje mwenyewe walahi nimemmiss saaaaaanaaaaaaa,kitime p,se mpe salamu zangu
ReplyDeletenyie njenje mtasherehekea hata miaka mia ya band yenu na mungu awape uhai na nguvu
irene sangaaaaaa