The Kilimanjaro Band also known as Njenje holds a five to six hours non-stop music performance every Saturday from 10.30 pm to early morning. The band which is now more than 35 years old combines this vast experience to produce an entertainment that will bring you back to the club week-end after another. The band comprises of 8 members
Tuesday 29 March 2011
Saturday 26 March 2011
Cheka na Wananjenje 2
Mpenzi mmoja wa Njenje alisikika akimlalamikia mwenzie,
" Aise jana nimeota ndoto mbaya kuliko zote toka nizaliwe", mwenzie akajibu
"Duh kwani umeota nini?".
" Nimeota niko kwenye chumba kimejaa mademu wazuri kama kumi na mbili",
" Sasa hizo si ndio ndoto watu tunazitaka? we vipi?'.
"Ndugu yangu si nimeota na mimi ni demu mojawapo?"
Monday 21 March 2011
Wasanii 13 wa Five Stars Modern taarab wafariki katika ajali mbaya
Bi Mwanahawa amenusurika japo kajeruhiwa vibaya |
Five Stars siku ya uzinduzi wa kundi lao |
Wapiga magita wa Five Stars, Musa na Sheba |
Wanamuziki wa Five Stars Watoto wa Bongo |
Sunday 20 March 2011
Saturday 19 March 2011
Harusi ya Abraham na Zulfa
Ijumaa March 19, 2011 ni siku kubwa kwa Abraham na Zulfa, newly weds, ambao sherehe yao ilisindikizwa na muziki wa Kilimanjaro Band katika ukumbi wa Diamond Hall B.
Maharusi wakiwa na wapambe wao |
Pongezi |
Wazazi |
Mzee Othman |
Wazazi wa Abraham |
Kukata Keki |
Wazazi wa Zulfa |
Duara muhimu |
Mama akituzwa |
Ohooo |
Wajomba , baba wakicheza ngoma ya asili |
Sunday 13 March 2011
Mduarani News
Kama kawaida mambo yalikuwa moooto. Jana Birthday hazikukosekana na bibie Queen alikuwa anasherhekea siku yake ya kuzaliwa video kadhaa zipo
Subscribe to:
Posts (Atom)