Saturday 17 November 2012

MDUARANIIIII SALENDER BRIDGE CLUB

Njenjeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee aa Njenje kuna raha, watu wana sura za furaha, wanacheza sana, huku muziki sio kuangalia, huku utacheza tu hakuna stage show huku, muziki ukikuingia katika damu unajimwaga uwanjani Haloo haloo ya Njenjeeeeeeee Kutia Nazi Kunogaaa................... angalia mapicha we acha tu




Juma Disco

Watoto wa Magomeni haooo

Waziri, Mutuz, Kitime

Moddy Mrisho

Tanga kunani paleeeeee


Kitime na Delfe

1 comment:

  1. Ebwanaeee Nyie Kiboko.

    Kumbe Kila Mmoja Anapiga Chombo Chake.

    What of NYOTAAA?

    ReplyDelete

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA