Milima ya huku mimea ni adimu, jua kali mawe kwa wingiii
Nyota na Abou wakitunga nyimbo mpya
Ngoja nile byeeeee
Katika safari ambayo ilikuwa ianze Jumanne tarehe 16, ghafla taarifa ilikuja kuwa safari ni Jumapili tarehe 14, na hivyo bendi ikalazimu kuharakisha ratiba zake kuwa mwaliko huo. Na sasa kundi zima la Njenje liko Muscat Oman tayari kwa onyesho tarehe 17 jumatano katika ukumbi wa PDO.
Nawaonea Gere sana watu wa mascut kwa burudani iliyo ya kiwango cha juu watakayo ipata. Waziri mimi nitakuwa namfukuza nyoka kupitia clip yenu ya last week ilikuwa nzuri mno. Keppy safari ingalikuwa ya MELI ingekuwaje ? nawatakia onesho jema. Nyoka huyooooooooo! na ushanga atauvaa.
Wandugu hamjambo? vipi maandalizi ya show kesho? hope quality ya sound itatisha. Play list iko tayari? nawatakia usiku mwema sana . Tunawakosa sana hapa home. Sijui sikukuu itakuwaje BILA NJENJEEEEEEE!
Nawaonea Gere sana watu wa mascut kwa burudani iliyo ya kiwango cha juu watakayo ipata. Waziri mimi nitakuwa namfukuza nyoka kupitia clip yenu ya last week ilikuwa nzuri mno. Keppy safari ingalikuwa ya MELI ingekuwaje ? nawatakia onesho jema. Nyoka huyooooooooo! na ushanga atauvaa.
ReplyDeleteWandugu hamjambo? vipi maandalizi ya show kesho? hope quality ya sound itatisha. Play list iko tayari? nawatakia usiku mwema sana . Tunawakosa sana hapa home. Sijui sikukuu itakuwaje BILA NJENJEEEEEEE!
ReplyDelete