Tulianza matayarisho saa nne asubuhi onyesho lilianza saa mbili usiku na kuisha saa nane usiku, kuna wapenzi wengi wa Njenje Muscat, Kiswahili utadhani uko Kariakoo
kuwasili asubuhi |
Matayarisho |
Vyombo vilikuwa na tatizo mixer ilikuwa ndogo kuliko tunayotumia kwa kawaida |
Jioni |
gere mama yanguuuueeeeeeeeee |
JFK na Nyota |
raha ndani ya roho |
Babu Njenje ndani ya Conga |
Bravo bravo people! asante kwa kutung'arishia ughaibuni...
ReplyDelete