Kulikuwa na birthday za watu kibao , Magreth wa TBC, Dr.......... mzee wa Botswana, it was fun. Kundi la mabinti kutoka Tanga aksante kwa kuinua kiwango cha kukata nyonga nchini hahahahaha. Kama kawa kulikuw na ugeni wanamuziki, Shaaban Manyanya alikumbusha enzi zake za kupiga drums. ROSE enzio viti vyenu vilibaki vyeupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgVfhy0K4nifPasIOBabMbIYp1pwnXXH_xPN1GGXR8CeR_pdc_jQccsiFHEemQza0KCDJop1RAXT4yURtjc02Age0VJsiyANnp4NHjRmS2dxw1oqHEnPuGMPTcSSkmqoc_KbnOId5fKQZgO/s320/DSC02699.JPG)
Mama Kosovo, Kosovo, na Bi Nyota |
Mwanamke kucheka |
Utamu |
Nyoka huyo hana kiuno....................... |
Nyonga kutoka Moshi we acha tu babangu |
Babu Francis na Salum wakiangalia ofisi ya fedha |
Bonge la show ambalo linaingia kwenye kumbukumbu za watu wenye mapenzi mema na muziki wa njenje.
ReplyDelete