MMMMMMMMMMHHH |
Baby come back? |
zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz |
Kigoma tuko juu |
Mwanza Airport |
Meeting our long lost friend Mussa Khalid |
Mwaaaaaaaaaaaaah |
Wanafanana hawafanani? |
Utakaaje Mwanza bila samaki |
Show kesho Villa Park |
Mara baada ya mduara Troop zima la Njenje lilikwea pipa kuelekea Mwanza, The Rock City.
Nimefurahi sana kumuona Khalid kwa mara nyingine tena akiwa mzima wa afya.
ReplyDeleteNimefurahi pia kuona mkiwa makini kwa kuweza kuchukua sehemu kubwa sana ya vyombo muhimu sana ambavyo vinaumuhimu wa production yenu haswa live.
Nimefurahi pia kuwaona WAZIRI NA NYOTA WAKIWA KWARIBU NA DALILI YA KEMIA INAYOTAKA KUREJEA. NATAMANI NA KUMUOMBA MUNGU WATU HAWA WAWEZE KUWA PAMOJA TENA. Kazi njema wana njenje na watu wa mwanza mnabahati ya kukumbukwa.
TANZANIA NI NCHI YANGU NA NJENJE NI BAND YANGU . NINAWAPENDA SANA
Du mpaka na fundi mitambo ndani! babu kapanda boeng kazi kweli kweli . Njenje hakuna ubaguzi wala KIJITI
ReplyDelete