Stono Masiyasika |
Kitime, Anania, Babu Njenje, Waziri |
Michuzi, Anania, Asia Idarous(Lady in Red), Kitime |
Nyota |
Juma Omary |
Keppy Kiombile |
Nyonga |
Nyonga |
Jamani Nyonga |
Halooooo |
Alikuwepo nyongani |
Nyonga zilinyongwa |
Loohhhh |
HAloooooooooooooo |
OGL Band |
OGL |
OGL |
OGL |
OGL |
Innocent Galinoma alikuweko |
Sote ni ndugu |
Anania and John |
Moddy and Waziri |
Galinoma akisaidiwa kuimba na mabinti |
Kuboma!!!!! |
Jive |
Jana Njenje kulichangamka haswaaaaaaaaaaa. Kulikuwa na wanamuziki kadha wa kadha, Stono Masiya, Innocent Galinoma, Anania Ngoliga, OGL Band( Hii ni bendi mpya kabisa mali ya kampuni ya gesi ya Oryx Gas. Kujumlisha na Njenje wenyewe, palikucha. Nyoga zilinyongwa,vinanda vilipapaswa, magitaa yalikwanguliwa basi balaaaaaaaaaaaaa hata Machapati anajua hilo.
Asanteni saana wana njenje. SIKU ZOTE NASEMA NJENJE NI BAND YANGU NA TANZANIA NI NCHI YANGU.
ReplyDelete