Abou katika mic kwa mbali duara linazunguka |
Jumamosi mkesha wa Pasaka mambo yalikuwa zaidi ya kawaida. Wapenzi wa Njenje walifurahi kwa kujaa ukumbini kila nyimbo ilipopigwa na ilikuwa pia birthday ya Mc Joyce, maarufu kama Mc JOJO
Shufle ikiongozwa na Nyota mwenye gauni la kitenge |
Abou na rafiki yake mpenzi Dimando |
Kweli PASAKA HII SHETANI kafungiwa . maana mambo yote picha za MNATO.
ReplyDelete