Kama kawaida ya kila Jumamosi mambo yalikuwa mswano, nyonga zilinyongeka ilikuwa raha kwa kila mtu. Siyo siri kila Jumamosi Njenje huwa pana noga. Halo halo ya Njenje....kutia nazi kunoga
No comments:
Post a Comment