Monday 30 May 2011

Lohhh waimbaji wapo wengi


Mduara ulizunguka kama kawaida, lakini pamoja na hayo Jumamosi hii walijitokeza chipukizi wawili na kuimba sawasawa na vizuri kabisa nyimbo mojawapo inayopigwa na bendi. Kwa kweli vipaji jamani vipo.

No comments:

Post a Comment

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA