Kilimanjaro Band imeanza mazoezi makali ya kurekodi album yao ya tano. Album zao za awali ni Katakata, Maua, Kinyaunyau, na Gere.Kati ya Nyimbo zitakazo kuwemo katika album hiyo ni Nyoka, Kisebusebu, Mume wangu, wimbo mpya uliona mahadhi ya Kingoni ndio unapikwa kwa sasa.
Hivi nyota kumbe ulikuwa kipotable hivyo zamani! hapo sijui ulikuwa unawaza nini mwanamke wewe? umekumbtiwa na mumeo kisha macho kodooo!
ReplyDeletehapo alikuwa akiangaza angaza wakwenda kudaga. MWANAMKE MBAYAA WEWEEEEE!
ReplyDelete