Wednesday 18 May 2011

Njenje kuwa Arusha Ijumaa 20 May, Private Function

Bendi yenu ya Kilimanjaro Band itakuwa Arusha Ijumaa 20 May 2011, kwa show ya siku moja katika 'private function '. Jumamosi jukwaani Salender Bridge as usual duara litazunguka, nyonga zitanyongwa. Kuna uwezekano mkubwa sana mpenzi maarufu wa Kilimanjaro Band Carl akatoa show kali ya nyonga......................

2 comments:

  1. we wish you all best! Tunasubiri duara jumamosi!

    ReplyDelete
  2. nivunje kikombe nsivunjeee! na nyotaa wakeee M M M mmmmmmmmm

    ReplyDelete

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA