Sunday 11 September 2011

Rambi rambi kwa ndugu zetu wa Zanzibar

Katika wakati huu mgumu tunachukua muda kutoa rambirambi zetu kwa wafiwa wote katika msiba mkuu uliowakumba ndugu zetu wa Unguja na Pemba. Mungu awasaidie wapungue machungu. Na awalaze pema wote waliopoteza maisha

No comments:

Post a Comment

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA