Tuesday 16 August 2022

KILIMANJARO BAND NJENJE YAANZA KUJIFUA KURUDI ULINGONI

 


NI mwaka mmoja toka mpiga kinanda na kiongozi wa Kilimanjaro Band Waziri Ally Seif alipofariki, bendi ya Kilimanjaro, wana Njenje walikuwa kimya kwa kipindi karibu chote, sasa bendi hiyo imo katika mazoezi makali na inategemea kuanza onyesho lake la kwanza katika jiji la Dodoma kabla ya mwisho wa mwezi huu. Usikose kutembelea humu kupata taarifa za ratiba ya bendi hii.



5 comments:

  1. HONGERANI saana tunawasubiria kwa hamu.

    ReplyDelete
  2. MAMBO YATAKUWA MOTO KULIKO ZAMANI

    ReplyDelete
  3. KILIMANJARO BAND17 August 2022 at 02:15

    ASANTENI NA KARIBUNI SANA

    ReplyDelete
  4. 🙏🏾Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi kila kitu kiende Sawa.🙏🏾Amina.

    ReplyDelete

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA