Bendi ya Kilimanjaro wananjenje kwa masikitiko makubwa inatoa pole kwa ndugu marafiki na jamaa wa rafiki yetu na mpenzi wa bendi yetu Sylasaid Mziray. Mungu amlaze pema peponi Amin(Pichani kushoto Mziray alipotembelea Bendi yetu akipiga rythm guitar katika wimbo wa Kilwa Jazz -Moyoni naumia)
No comments:
Post a Comment