Ratiba ya kuaga mwili wa marehemu Syllersaid Mziray, "Super Coach" kwa ajili ya mazishi yake yanayotarajiwa kufanyika kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar tarehe 1 November 2010.
Taratibu hizi zitaanzia Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania, Kinondoni Biafra kuanzia saa 4:00 asubuhi.
4.00 – 05.00 Kuwasili Waombolezaji
05.00 – 5.30 Viongozi, Wageni Waalikwa wa CKHT kuchukua nafasi zao.
05.30 – 6.00 Nyimbo za Maombolezo.
06.00 – 07.00 Kuwasili Mwili na Ndugu wa Marehemu.
07.00 – 07.15 Wimbo wa CKHT kupigwa.
07.15 -08.15 Misa/Sala.
08.15 – 08.20 Maelezo ya Wizara ya Michezo, Mwakilishi wa Wizara.
08.20 – 08.25 Maelezo ya TFF, Mwakilishi wa TFF.
08.25 – 08.30 Maelezo ya Simba Sport Club , Mwakilishi wa Simba.
08.30 – 08.25 Wasifu wa Marehemu CKHT .
08.35 – 08.40 Maelezo ya mwisho ya MMC VC.
08.40 – 08.45 Shukrani ya Familia,Mhusika wa Familia,
08.45 – 09.45 Kuaga mwili wa Marehemu.
10.00 – 10.05 Wimbo wa Chuo.
10.05 Kuelekea Makaburini Kinondoni

No comments:
Post a Comment