Dito na Frank wakilisakata Chacha
Cha cha cha si mchezo wakitoto ama unajua au hujui
Babu Njenje kwenye drums, unajua kuwa ndie aliyerekodi drums kwenye wimbo 'BOKO'?
Mgeni karibu...Kisauji yuleyule wa toka enzi za Babloom , aliporomosha vibao kadhaa vya Marijani Rajabu na Taarab moja, raha tupu...Utatupendaje wawili?
Wapenzi walimwomba Kisauji aimbe Gere, akakubali kuwa ataimba kesho.
Halahala mdomo na maik
Al Hadaada alikuweko, jana alikuwa hachezi kabisa, sijui alipigwa karantini?
No comments:
Post a Comment