Nyota Abdallah wa Njenje na Anna Mwaole wa Super Kamanyola
Ilikuwa raha sana kusikiliza kila bendi, na utamu ukazidi pale bendi zote mbili zilipounganika na kuanza kupiga muziki kwa pamoja. Nyimbo za zamani za Tancut, Maquiz, TP OK Jazz na kadhalika ziliporomoshwa. Onyesho lilifana kiasi cha kuwa kuna mipango ya kurudia tena, wakazi wa Mwanza kaeni chonjo, halafu Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment