Mzee Mwinyi na Mzee Lowasa walikuweko |
Mduara wa kwanza |
Hayaaaaaaaaa |
Bi Harusi mtarajiwa in Red, alipendeza mtoto wa watu |
Tupige nyimbo gani baada ya hapa? Mi siwasilikizi natuma mesej home |
Keki imekaa kama shepu ya mdada fulani |
Gere mama yangueeeeeeeee |
Asha Baraka, Nyota na Keppy |
Mzee Mwema na familia yake |
Hongera wana njenje,mpo juu na nyinyi ndio mfano wa kuigwa na bendi zetu hapo bongo,muziki wa ki utu uzima pia mshikamano wa muda mrefu wa kundi zima umewaletea heshima na mafanikio.Good luck and
ReplyDeletemay god bless you guys.
Garisoo "mosusu"jirani ya mzee Matsunaga,Chiba,Japan.