Tuesday 14 June 2011

Bado tupotupo kwanza

Tulikuwa vijana muda umepita sasa, tunamshukuru Mungu bado tupo pamoja tukifurahia maisha na kufurahisha na kuleta faraja kwa mamia ya watu Aksante Mungu kwa vipaji ulivyotupa



1 comment:

  1. Naona Wananjenje hapo juu mkiwa na Dokta Mhoma,kama kawaida yake akiwapa story,maana Dokta alikuwa mtu wa story sana hata sisi tuna mmiss sana,hii inanikumbusha mbali sana yaani wakati Wananjenje mlipokuwa Tokyo,enzi za Penta house Akasaka.Kila la heri wananjenje.
    Abbu Omar,Prof.Jnr(Mwanamuziki)Tokyo,Japan.

    ReplyDelete

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA