Tuesday 14 June 2011

Happy Birthday Babu Njenje

Leo tarehe 15 June, ni birthday ya Mabrouk Khamis maarufu Babu Njenje, mwanamuziki huyu wa siku nyingi aliyeanza kwa kupiga drums amefikia umaarufu wa kuimbia na kujulikana sana katika nyimbo zake za mduara kama vile Kinyaunyau, Kachiri, na baada ya recording ya album mpya ya njenje kuna nyimbo kama Kisebusebu, na Nyoka ambazo zitakuwa kumbukumbu za sauti yake daima...Happy Birthday Babu Njenje, Baba Lulu



3 comments:

  1. It was a classic interview at cloudsfm radio though I didn't understand much of swahili words, but with the help of our house captain, I managed some words . Brand Tanzania and the whole crew wish you a very happy birth day and many years to come. I promise to attend one of your shows in dar soon with our house captain Mr. Louie Kifanga.

    All the best Mr. Mabrouk and your family.

    Jerry Leffroy

    ReplyDelete
  2. Thank you Jerry. Thank you very much

    ReplyDelete
  3. Happy birthday mkuu Mabrouk aka "Babu Njenje"Nakutakia mafanikio na afya njema wewe pamoja na familia yako pia ndugu zangu wote wa Njenje, nyote kwa pamoja muendelee kukaza buti kama kawaida ili bendi yetu iweze kudumu katika anga za burudani.Nisalimie wana Njenje wote,Wishing you all the best.
    Abbu Omar,Prof.Jnr(Mwanamuziki)Tokyo,Japan.

    ReplyDelete

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA