Monday 6 June 2011

Nyonga za Jumamosi hii, Tanga zaidi hakuna mashaka

Eti mwanaume akienda Tanga nguo zalowekwa hakuna kurudi Dar kweli hiyo?

3 comments:

  1. Mkuu Kitime tafadhali mkumbushe Mr.
    Mabrouk aka "Babu Njenje"kuwa kuna msemo usemao "Jamani Tanga" Yaani hata mimi naamini kutokana na hadithi nilizokuwa nikizisikia tangu udogo wangu kuwa Tanga ni sehemu hatari maana unaweza ukapotelea huko na kusahau hata familia yako,hii ni kutokana na huduma adimu utakazopatiwa na akina mama wa huko,kwa hiyo mkuu Kitime ukienda huko uwe chonjo.
    Abbu Omar,Prof.Jnr(Mwanamuziki)Tokyo,Japan.

    ReplyDelete
  2. Lo "JAMANI TANGA !!!!"Ni hatari tupu !!!Kuingia ni rahisi lakini kutoka si rahisi !!Mimi mwenyewe nilawahi kukwama na nikatimuliwa na jimama baada ya pesa kuniishia,Ilibidi nilazimishwe kuosha basi zima ndio iwe kama nauli yangu kurudi Mombasa,Sitorudi tena Tanga maana mtaji wangu wote uliishia huko ingawa nilienjoy mapenzi mwanzoni,na mwisho ikawa kilio.Tanga hiyooooo !!!
    mdau Majengo Saba saba,Mombasa.

    ReplyDelete
  3. Jamani hizi nyonga ni hatari tupu,nimeazmia kuwa kuanzia sasa nitkuwa nakuja huko Njenje maana sitaki niukose utamu huu,na siyo kuona ktk mtandao peke yake.Njenje mpo juu.keep it up.
    mdau.

    ReplyDelete

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA