Njenje watembelewa na East African Melody
Mara kwa mara bendi hutembelewa na wanamuziki aina mbalimbali, leo tumetembelewa na East African Melody, wakaburudisha na kibao cha Kinyago cha mpapure na vinginevyo, wageni wengine walikuwa wanamuziki wa Kalunde Band, na bibie Ashura toka B Band
No comments:
Post a Comment